ASIMILIA 37 YA WATANZANIA WAMEPATA CHANJO YA UVIKO-19

Na.Catherine Sungura,Tanga Hadi kufikia tareheĀ  Julai 18 2022 jumla ya wananchi milioni 11.5 sawa na asilimia 37 ya watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea wamepata chanjo kamili ya UVIKO-19 hapa nchini. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati wa kikao cha Viongozi wa dini wa Mkoa wa Tanga ikiwa ni